ocr: Bonyeza picha usikilize kwa makini. Bonyeza picha ndogo au kubwa usikilize tena. Kama imo maikrofoni kwenye kompyuta, unaweza kujirikodi Bonyeza kifungo chekundu na useme sawa sawa. Bonyeza kipanya' - ukitaka kusita kujirikodi. Kisha bonyeza kifungo cha buluu na ulinganishe.